JINSI YA KUCHANGANYA VIUNGO NA KUCHOMA KUKU


C

 Kuku wa kuoka Mahitaji 

MAHITAJI

Kuku

Chumvi

Tandori masala 

Kotimiri 

Chicken masala 

Curry powder 

Thoum tangawizi 

Uzile 

P.manga 

Ndimu




Kata kuku vipande vioshe vizuri kisha weka spices nilizozitaja hapo then changanya uzuri na kuacha kwa masaa 2 kisha panga kwenye trea na kuchoma kwa oven  mpaka walipoiva nikatoa tayari kwa kula..enjoy

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

MBUNGE MOMBA KUTOA SHILINGI MILIONI 28 UJENZI WA OFISI ZA CCM KATA 14

BARAZA LA MADIWANI LAWAPONGEZA WALIMU UFAULU WA DARASA LA SABA