JOEL KAMINYOGE MWENYEKITI TUGHE TAIFA ZIARANI KILIMANJALO

 Mwenyekiti TUGHE Taifa Joel Kaminyoge ametelea Mkoa wa  Kilimanjaro.Kaminyoge aliweza kupita ofisini kwa RAS , DC wa Moshi, ofisi ya mganga mkuu hospitali ya Mkoa mawenzi na hospitali ya Rufaa KCMC!

Uongozi na wanachama wote aliweza kukutana na kuzungumza nao.

(Picha mbalimbali akiwa Mkoani KILIMANJALO)











Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA