WANAFUNZI WATEMBEA MASAA 4 KUIFIKIA SHULE MBOZI, MWENYEKITI HALMASHAURI ASIKITISHWA

 


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mbozi George Musyani amelazimika kusafiri mwendo wa Masaa Matatu kukifikia Kijiji cha Ileya kata ya Namlonga Wilayani Mbozi kuongea na kusikiliza kero za Wananchi ambapo wamemuelezea kero Mbalimbali ikiwepo umbali wa Wanafunzi wanaopata kufika Shule iliopo Malena

"Nimepata wasaha wa kufika Ileya Kitongoji Malena  Kijiji Namlonga Kata Nanyala WILAYA Mbozi. Ni mwendo wa masaa matatu tokea makao makuu ya Kata kwa gari na dk 75 kutembea kwa mguu. Masaaa hayo matatu ni Nanyala-Mbalizi-Mjele. Wananchi wana kiu ya kuwa na shule Yao maana kuna umbali wa masaa manne kutembea kutoka shule ya Msingi Malena kitu ambacho ni hatari  kwa usalama wa watoto. Watanzania hawa wanahitaji huduma  Tuwasaidie"-Mwenyeki Halmashauri ya Mbozi



Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE