BREAKING NEWS BASI LA MANDA'S LAPATA AJALI SONGWE

Basi linalofanya safari zake Mbalizi(Mbeya)-Mkwajuni(Songwe) la Manda's Express limeangua njia panda ya Galula Wilayani Songwe.

RPC Jannet Magomi amethibitisha na taarifa kamili itatolewa baadae,taarifa ya Mwanzo mtu mmoja amekwisha fariki na uokoaji unaendelea.







Comments

Popular posts from this blog

ASKARI WATATU KITUO CHA TUNDUMA MAHAKAMANI KWA KWA RUSHWA

MFANYAKAZI NMB AFARIKI KWA KUJINYONGA