RC SONGWE AMEFIKA NYUMBA MSIBANI KWA ASKOFU MWENISONGOLE

 Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba akiwa ameongozana na Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Songwe wamefika Ichenjezya Mbozi Msibani kwa askofu Ranwell Mwenisongole ambapo amesaini kitabu cha Maombolezo.

Aidha Mkuu wa Mkoa amesema maandalizi ya kuupokea mwili wa marehemu umekamilika na Ulimzi na Usalama umeimalishwa kuhakikisha shughuli za mazishi zinakwenda kwa Amani



Maoni

Unknown alisema…
Ongera sana Rc mungu akujalie maisha marefu ifike sehemu tuzikane hatakama kulikuwa na tofauti tuziweke Kando mambo yaende ongera sana Mr RC

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

MBUNGE MOMBA KUTOA SHILINGI MILIONI 28 UJENZI WA OFISI ZA CCM KATA 14

BARAZA LA MADIWANI LAWAPONGEZA WALIMU UFAULU WA DARASA LA SABA