MAKAMBA AVUNJA IDARA YA HABARI NA MAWASILIANO TANESCO

 

Arusha. Waziri wa nishati, January Makamba ameagiza kuvunjwa kwa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa kushindwa kulisemea shirika hilo

Makamba ametoa agizo hilo leo Jumanne Januari 25, 2022 wakati alipotembelea kituo cha usambazaji umeme kilichopo Njiro jijini Arusha ambapo amesema amevunja idara hiyo kutokana na kushindwa kutimiza majukumu yao ikiwemo kulisemea shirika hilo pamoja na kutoa taarifa kwa wateja wao.

"Sisi kama Serikali hatufurahishwi na malalamiko ya wananchi kuhusu kukatika kwa umeme pamoja na upungufu wa taarifa zitolewazo kwa wateja,"amesema Makamba 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

CHONGOLO AWACHARUKIA RUWASA NA TANESCO KUTOSHIRIKI ZIARA YAKE