BREAKING NEWS:KINANA ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Kamati kuu CCM imemchagua aliewahi kuwa Katibu wa CCM Abrahiman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA akirithi mikoba ya Philipo Magula ambae amejiudhuru Wadhifa huo.
Tarehe ya Kuzaliwa: 05 Novemba, 1973 Mahali: Kijiji cha Isale, Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara ELIMU Mh. Ester Alexander Mahawe alianza safari yake ya elimu katika Shule ya Msingi Upper Kitete, Wilaya ya Karatu mnamo 1982-1983 na baadaye kuhamia Shule ya Msingi Isale, ambako alihitimu mwaka 1988. Alipata elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Imboru, Wilaya ya Mbulu kati ya mwaka 1989-1992. Mnamo 1994-1996, alihitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kutoka Chuo cha Ualimu Monduli, Mkoa wa Arusha. Mwaka 2012-2013, alihitimu stashahada ya Uongozi na Utawala kutoka Chuo cha ESAMI, Mkoa wa Arusha. NDOA NA FAMILIA Mnamo tarehe 17 Septemba 2005, Ester Alexander Mahawe alifunga ndoa na Alexander Samson. Ndoa yao ilijaliwa watoto watatu wa kuwazaa: wavulana wawili na msichana mmoja. Aidha, aliwalea watoto wengine sita na hivyo kuacha jumla ya watoto tisa pamoja na wajukuu tisa. KAZI NA UZOEFU Huduma ya Ualimu: 1996-1997: Mh. Ester alikuwa mwalimu katika St. Constantine International Sch...
The government has officially announced the commencement of the construction of the Isongole II – Ibungu – Isoko asphalt road, covering a distance of 52.419 kilometers, with the project contractor, China Road and Bridge Corporation (CRBC), introduced to the public. Speaking today, March 7, 2025, to the residents of Isongole Ward in Ileje District, the Deputy Minister of Works, Engineer Godfrey Kasekenya, stated that President Samia Suluhu Hassan’s government has approved and allocated funds for the construction, despite misleading claims from some individuals who alleged that the project would not be implemented. He added that the government has already disbursed TZS 7.2 billion as an initial payment to the contractor, while the total cost of the project exceeds TZS 75 billion. Deputy Minister Kasekenya, who is also the Member of Parliament for Ileje, emphasized that infrastructure improvement, particularly roads, is a major catalyst for development, especially for the youth. ...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amegoma kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Vwawa-Mlowo uliopo Mkoani Songwe, unaotekelezwa na Mkandarasi Mzawa wa kampuni ya Current Construction Ltd ya Jijini Dar es salaam mpaka changamoto zilizopo zitakapo tatuliwa. Mhandisi Kundo amesema kuwa, changamoto hizo ni pamoja na kazii kufanyika chini ya kiwango kilichokubaliwa. Kufuatia hali hiyo, Mhandisi Kundo ameiagiza bodi ya Vwmwassa na RUWASA kuhakikisha kwamba wanamsimamia mkandarasi huyo, ili aweze kufanya marekebisho kwa kasoro zote zilizobainika. Mhandisi Kundo amechukua uamuzi huo leo Januari 14, 2025 katika siku ya pili ya ziara yake ya siku mbili Mkoani Songwe, baada ya kusomewa taarifa ya maendeleo ya utekeleza kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vwawa-Mlowo (Vwamwassa), Mhandisi Clavery Casmir. "Niko tayari kupewa majina mabaya, lakini kwa mradi huu siwezi kuweka jiwe la msingi mameneja wa Wilaya, hata ...
Maoni