MSIBA MKUBWA MKOANI SONGWE CHIFU WA MOMBA AFARIKI DUNIA


Mkoa wa Songwe umepata pigo kufuatia kifo cha Chifu wa Kabila la Wanyamwanga lilopo Wilayani Momba ajulikanae Kwa jina la Chifu Jubeck Mkoma maarufu kama CHIMPANSYA,Amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Rufaa Mbeya.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza pindi tunapozidi kuzipata.

HABARI JAMII TUNATOA POLE KWA WAKAZI WA MOMBA NA MKOA MZIMA WA SONGWE






Comments

Popular posts from this blog

ASKARI WATATU KITUO CHA TUNDUMA MAHAKAMANI KWA KWA RUSHWA

MFANYAKAZI NMB AFARIKI KWA KUJINYONGA