MWANAMUZIKI MAUNDA ZORRO AFARIKI DUNIA


 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maunda Zorro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ajali ya gari mkoani Dar es Salaam. 


Familia ya mwanamuziki huyo imethibitisha kutokea kwa kifo hicho. 


Maunda kutoka katika familia ya waimbaji ya Mzee Zahir Zorro atakumbukwa kwa nyimbo mbalimbali za kusisisimua kama vile Nataka Niwe Wako na Mapenzi ni ya Wawili.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA