BREAKING NEWS: CHADEMA YAWAFUKUZA RASMI UANACHAMA KINA MDEE

 HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA

-

Baraza Kuu la CHADEMA usiku wa leo kuamkia Alhamisi (Mei 12, 2022) limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 za kupinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama

-

Baraza hilo limeunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu ya chama wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila kupata baraka za chama


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO