MWANDISHI WA HABARI SONGWE ANYAKUA TUZO YA UANDISHI


 Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Serikali  Baraka Messa toka Mbozi Mkoani Songwe amepata  tuzo ya uandishi habari za ushirika 2021 zilizoandaliwa na EJAT.


Baraka Messa ambae ni Maarufu Mkoani Songwe kwa Uandishi wa Makala Mbalimbali za Kijamii alikuwa ni Mwandishi pekee toka Mkoani Songwe aliepata nafasi ya kuteuliwa na Jopo la Majaji kushiriki Tuzo hizo na kuwa ni miongoni mwa Washiriki 6 walikuwa wakichuana nafasi Moja.

Sisi kama HABARI JAMII TANZANIA tunampongeza Mwandishi Baraka Messa kwa Tuzo hiyi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA