MAMBO NI MOTO UCHAGUZI CCM MBOZI.MWAIPULA AITAKA NAFASI YA UENYEKITI WAZAZI MKOA WA SONGWE


 Rabson Elias Mwaipula mapema leo amejitokeza ofisi za CCM mkoa kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Songwe.


Mwaipula ambaye ni Kada wa Chama cha Mapinduzi miaka mingi na hajawahi kuteteleka amechukua fomu leo.


Uchaguzi wa CCM unatarajiwa Kufanyika mwezi wa kumi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO