GWAJIMA ATAKA SIMBA WAOMBE RADHI KITENDO CHA KUINGIA NA JENEZA


 Baada ya Msanii wa Bongo Fleva, Tunda Man kuingia na Jeneza katika Shamra Shamra za Simba Day iliyofanyika Agosti 8, 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

Sasa imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu mbalimbali ambapo leo Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Gwajima ameitaka Klabu ya Simba SC kuoma radhi huku akidai kitendo hicho si cha ungwana

Comments

Popular posts from this blog

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

TABIA ZINAZOWEZA KUKUFANYA USIKUBALIKE KWA JAMII