IGP WAMBURA AFANYA MABADILIKO MAKAMANDA POLISI

 


MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura amewahamisha mikoa ya kazi baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa huku mmoja akimhamishia Makao Makuu ya Polisi Dodoma.

Katika taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime, waliohamishwa ni Kamanda Henry Mwaibambe kutoka Geita kwenda Tanga, na Kamanda Safia Shomary aliyekuwa Tanga amehamishiwa Mkoa wa Geita.

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Temeke, Richard Ngole amehamishiwa makao makuu na nafasi yake imechukuliwa na Kungu Malulu aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rufiji



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA