Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake.
Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017 nyumbani kwake Area D jijini Dodoma akitoka kuhudhuria Mkutano wa Bunge.
Baada ya shambulio hilo, Lissu alipelekwa Hospitali ya rufaa ya Dodoma kabla ya kuhamishiwa Nairobi nchini Kenya siku hiyo hiyo alikoanza kufanyiwa operesheni na baadaye kuhamishiwa nchini Ubeligiji anakoishi mpaka sasa.
Katika mtandao wake wa Tweeter leo Jumatano Septemba 7, 2022 Lissu ameadika risasi 16, miaka mitano na operesheni 25 baadaye, bado nimewakomalia na mapambano yanaendelea miaka mitano, nabaki kujiuliza maswali.
“Ni kwanini Serikali na Jeshi la Polisi hadi leo hawafanyi uchunguzi na kwanini nimenyimwa, nimenyimwa haki zangu za msingi ikiwemo matibabu,”
Mwingine aliyetoa ujumbe unaofanana na Lissu ni Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika ambaye aliandika, “IGP na DCI ni vyema mkatumia siku ya leo, kutoa maelezo kwa umma ni kwanini hadi sasa waliomshambulia kwa risasi Tundu Lissu hawajakamatwa na lini mtaridhia wachunguzi”
ADVERTISEMENT
Mwananchi Digital ilipomtafuta Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema uchunguzi wa kesi yeyote ya jinai unaweza kuendelea hadi pale waliofanya tukio hilo watakapopatikana.
“Watakapopatikana ndipo itajulikana nia ilikuwa ni nini kama Jeshi la Polisi lilivyowahi kusema uchunguzi wa tukio la Tundu Lisu bado tunaendelea nao kwa kukusanya ushahidi kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Tulishasema pia aje pamoja na dereva wake ili tupate maelezo yao kwani yatatusaidia kusonga mbele katika uchunguzi wetu,”amesema Misime.
Akizungumza na Mwananchi, Lissu amesema hata kama nchi haiko salama sio sababu ya yeye
Jeshi la Polisi limesema bado linaendelea kumsubiria Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi ikiwa ni miaka mitano tangu ashambuliwe.
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake.
Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017 nyumbani kwake Area D jijini Dodoma akitoka kuhudhuria Mkutano wa Bunge.
Baada ya shambulio hilo, Lissu alipelekwa Hospitali ya rufaa ya Dodoma kabla ya kuhamishiwa Nairobi nchini Kenya siku hiyo hiyo alikoanza kufanyiwa operesheni na baadaye kuhamishiwa nchini Ubeligiji anakoishi mpaka sasa.
Katika mtandao wake wa Tweeter leo Jumatano Septemba 7, 2022 Lissu ameadika risasi 16, miaka mitano na operesheni 25 baadaye, bado nimewakomalia na mapambano yanaendelea miaka mitano, nabaki kujiuliza maswali.
“Ni kwanini Serikali na Jeshi la Polisi hadi leo hawafanyi uchunguzi na kwanini nimenyimwa, nimenyimwa haki zangu za msingi ikiwemo matibabu,”
Mwingine aliyetoa ujumbe unaofanana na Lissu ni Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika ambaye aliandika, “IGP na DCI ni vyema mkatumia siku ya leo, kutoa maelezo kwa umma ni kwanini hadi sasa waliomshambulia kwa risasi Tundu Lissu hawajakamatwa na lini mtaridhia wachunguzi”
ADVERTISEMENT
Mwananchi Digital ilipomtafuta Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema uchunguzi wa kesi yeyote ya jinai unaweza kuendelea hadi pale waliofanya tukio hilo watakapopatikana.
“Watakapopatikana ndipo itajulikana nia ilikuwa ni nini kama Jeshi la Polisi lilivyowahi kusema uchunguzi wa tukio la Tundu Lisu bado tunaendelea nao kwa kukusanya ushahidi kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Tulishasema pia aje pamoja na dereva wake ili tupate maelezo yao kwani yatatusaidia kusonga mbele katika uchunguzi wetu,”amesema Misime.
Akizungumza na Mwananchi, Lissu amesema hata kama nchi haiko salama sio sababu ya yeye kutokurudi, kwani kurudi nchini kunahitaji maandalizi ikiwemo fedha.
“Huu ni mwaka wa tano kuishi nje sio jambo dogo, kufanya maandalizi kunahitaji muda na fedha pia, Rais aliahidi kunilipa fedha za matibabu lakini hazijalipwa hadi leo licha ya kusema niandike madai
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dk Festo Dugange amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano bado ni kikubwa ambapo kwa Mkoa wa Kigoma ni asilimia 27.1, Katavi asilimia 32.2, Njombe asilimia 50.4, Songwe asilimia 31.9 na Rukwa asilimia 49.8. Amesema hayo katika hafla ya kusaini hati za makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa lishe unaofadhiliwa na Shirika la Misaada la Watu wa Marekani (USAID) iliyofanika leo Mei 07, 2024 katika Ukumbi wa Sokoine jijini Dodoma. Dk Dugange amesema viwango vya matatizo ya lishe nchini vimeendelea kupungua mwaka hadi mwaka ambapo kwa mwaka 2022 kiwango cha udumavu nchini ni asilimia 30 ikilinganishwa na asilimali 34 mwaka 2015. Aidha, naibu waziri huyo amesema tunapaswa kuendelea kuhamasisha ulaji wa chakula mchanganyiko chenye virutubisho na kuzingatia mtindo bora wa maisha. “tuweke kipaumbele katika kuimarisha usafi wa mazin...
Klabu ya Jogging ya Mkoa wa Songwe maarufu kama lango la SADC wamefanikiwa kurudi na medani zaidi ya kumi na tano baada ya kushiriki Tulia Marathon Mkoani Mbeya. Klabu hiyo iliweza kushiriki mbio fupi na ndefu zilizofanyika Uwanja wa michezo wa sokoine uliopo Jijini Mbeya ambapo zaidi ya washiriki takribani 500 walishiriki, Mkoa wa Songwe ukiongozwa na Afisa Elimu Mkoa wa Songwe Michael Lighola pamoja na Viongozi mbalimbali. Akiongea baada ya kumalizika kwa mbio hizo Lighola amesema amefurahi sana kwa Songwe kushiriki mbio hizo kwa zimewapa ujuzi na kuwakutanisha na wadau mbalimbali hivyo Mkoa Songwe unakwenda kuandaa mbio za Kimondo day kwa utaalamu zaidi na watawaalika wadau wengi zaidi. "Kiukweli hizi mbio zimetujenga sana na niwapongeze wote walioshiriki mbio hizi toka Songwe wameonyesha umoja na kujitokeza kwa wingi" Amesema Lughola Kwa upande wa mratibu wa Tulia Marathon upande Songwe Jogging Charles Mwamlima amesema kuwa washiriki wote wa Mkoa wa Songwe walikuw...
Hapa kuna toleo lililoboreshwa la habari kuhusu tukio la Route Match, likizingatia lengo la kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha na kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Viongozi wa Mkoa na Wilaya Wakutana Msangano kwa Route Match Ili Kuhamasisha Usajili na Ushiriki wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katika tukio la kipekee lililofanyika Tarafa ya Msangano, viongozi wa Mkoa wa Songwe na Wilaya ya Momba walikusanyika kushiriki mbio za Route Match, tukio lililolenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaokuja. Mchezo huu wa mbio uliwavutia washiriki wengi kutoka maeneo mbalimbali, huku ukitoa fursa kwa viongozi na wananchi kushiriki kwa pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya, mshikamano, na utayari wa kidemokrasia. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Momba, Fabian Manoza, alipongeza mafanikio ya tukio hilo na akasisitiza umuhimu wa wananchi kujiandikisha mapema na kutambua hak...
Maoni