MBOZI KUJENGA KITUO CHA AFYA MILIONI 500 KWA MAPATO YA NDANI,MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya Halungu ambacho kinajengwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kwa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Halungu.
Kituo hicho ambacho Kukamilika kwake kitagharimu fedha milioni 500 lakini hadi sasa Halmashauri kupitia mapato yake ya ndani wametumia milioni 367,660,000 kati ya izo nguvu za wananchi ni milioni 17,660,000.


Maoni