MWENGE WA UHURU WAACHA ALAMA YA MAISHA MOMBA

Pichani ni Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba, Mkuu wa Wilaya ya Momba fakii Lulandala,Mkurugenzi Regna Bieda na Katibu wa CCM Wilaya ya Momba wakionyesha furaha  Mwenge wa Uhuru kuweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya Msangano, 18 Septemba 2022.


Wilaya ya Momba imekuwa ni moja ya Halmashauri zilizojipanga vizuri katika Mapokezi ya Mwenge wa UHURU na kujipanga vilivyo katika miradi yake huku Wananchi wake Momba wakiiupokea Kwa hamasa kubwa.




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA