KIKONGWE ADAIWA KUBAKA MWANAFUNZI WA MIAKA 14 SHINYANGA

 


Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo.Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Jackson Mwakagonda amedai tukio hilo limetokea Oktoba 10, 2022 saa 8 mchana katika Kata ya Ndembezi.

Kamanda Mwakagonda amedai mtuhumiwa huyo alimrubuni mhanga kwa kumpa Sh10, 000 na kumfanyia ukatili huo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO