MKANDARASI APEWA MASAA 288 NA DC MOMBA YA MRADI KUKAMILIKA

MKANDARASI. MOMBA APEWA MASAA 288 KUKAMILISHA. MRADI WA MAJI


SONGWE 


Mkuu wa Wilaya ya Momba Fackiii Lulanda ametoa masaa 288 kwa mkandarasi wa mradi wa maji Mkoma kumaliza Ujenzi wa mradi huo 


Lulandala amesema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maji Wilayani Momba amnapo amesema kutokukamilika kwa mradi imekua sababu ya shughuri za maendeleo kusimama katika kata hiyo


Aidha Lulandala. Ameongeza kuwa kusua sua kwa mradi huo kunachangiwa zaidi za Mkandarasi wa mradi huo ambaye Mara kwa Mara amekua akiwakwepa pindi wanapomuhitaji" kamati ya Ulinzi na usalama tumeamua sasa kumpa muda wa Masaa

288 sawa na siku 12 ili akamilishe kwasababu huu ndiyo mradi pekee katika Wilaya hii ambao umeleta shida hautoi maji na haujakamilika kwa wakati, hivyo tunataka mradi ukamilike kwa wakati" amesema Lulandala

Katika hatua nyingine Lulandala pia ameagiza taasis ya kupambana na Rushwa Takukuru pamoja na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kumuhoji mkandarasi huyo ili kujua sababu ya ucheleweshaji wa mradi huo 


Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Momba imelenga kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyojtekelezwa na serikali awamu ta sita tangu ilipoingia madarakani 


Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE