RC RUKWA SENDIGA AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA MBOLEA DUNIA WILAYANI MBOZI


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Queen Sendiga leo (Oktoba 13, 2022) ameongoza kilele cha maadhimisho ya siku ya mbolea yaliyofanyika Mbozi Mkoa wa Songwe yenye lengo la kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea ili kukuza uzalishaji mazao ya kilimo 

 

Sendiga ametoa wito  kwa wananchi wote wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Tanzania kwa ujumla kutumia vema fursa iliyotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita kujisajili katika mfumo wa  Mbolea za Ruzuku  ili kukuza tija na kuleta mapinduzi ya kilimo.


Mikoa ya Ruvuma, Mbeya, Songwe, Iringa, Rukwa na Katavi imeshiriki.





Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

MBUNGE MOMBA KUTOA SHILINGI MILIONI 28 UJENZI WA OFISI ZA CCM KATA 14

BARAZA LA MADIWANI LAWAPONGEZA WALIMU UFAULU WA DARASA LA SABA