BREKING NEWS: RADWELL MWAMPASHI ASHINDA UENYEKITI MKOA WA SONGWE


 Uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti Mkoa wa Songwe umefanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Morovian na haya ndio matokeo yake

Radwell Mwampashi- 415

 Kisa Kibona-104

Isabela  Mbaya- 27



Matokeo ya Uchaguzi nafasi ya Ujumbe Halmashauri kuu Taifa Mkoa wa Songwe


Aden Mwankyonde-328

Ombeni Nanyalo- 211


 
Uchaguzi huo ambao ulirudiwa kwa mara ya pili baada ya matokeo ya mwanzo Kushindwa kupatikana mshindi 

Na matokeo ya awali yalikuwa ifuatavyo

Awamu ya kwanza

Aden 274

Nanyalo 154

Nsonjo 122

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO