JINSI YA KUPIKA BIRIANI YA KUKU
birian ya kuku.
mahitaji.
kuku
maziwa mala/mtindi
pilpil manga nzima
bizar nyembamba
mdalasin,
hoho
tangawiz na saum
kitunguu kikate ukikaange
viaz menya uviweke rangi kisha vikaange
tomato na paste
rangi ichnganye n maji kidogo.
chumvi
mchele uchemshe uumwage maji.
katika blenda weka tangawiz, saum, tomato, paste, mtindi, spices, hoho saga vyote pamoja kisha weka. kwenye sufuria pamoja na kuku. weka. moton acha vichemke rojo likianza kupungua kias wwka viaz, chimvi na vitunguu acha viive pamoja mpaka liwezito.
chukua mchele urudishe sufurian. baad kuuchemsh weka rangi kias upendacho kisha weka vitunguu sio lazima funika acha kwa mda wa dakika 15 mpk 30 moto mdogo mdogo ili wali uive vizur.. epua koroga uchanganyike vizur kisha serve n enjoy
Comments