RAS SENEDA NA DC MOMBA WATEMBELEA GYM YA TUNDUMA WAMPA BIG UP MWEKEZAJI


Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi Happyness Seneda akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Momba Fakii Lulandala pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama Wilaya  wametembelea Gym ya Mwaitebele  iliopo Tunduma Msikitini jirani na Kisimani ambapo wakiwa hapo walipata fursa ya kufanya mazoezi ya viungo kwa kutumia mashine mbalimbali zilizopo ndani ya Gym hiyo.


"Nimefika ndani ya Mkoa huu wa Songwe hii gym ni kiboko ni kubwa na ina kila kitu nitoe wito kwa Dc Momba himiza Watumishi wetu na Wananchi hata mara moja kwa wiki wajenge Utamaduni wa kuja hapa kufanya mazoezi na Mimi nitatenga siku niwe nakuja hapa kufanya Mazoezi" Seneda.



Aidha Seneda amempongeza Mwaitebele kwa uwekezaji huo ndani ya Mkoa wa Songwe na kutaka wadau wengine waige mfano huo katika maeneo ya Mkoa huu Ili kuwajengea Wananchi sehemu ya kujenga miili yao na kuimalika kiafya.


Fa


Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE