RC SONGWE KUANZISHA KAMPENI YA KUTOKOMEZA VITAMBI KWA WATUMISHI MKOANI SONGWE

 

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba amesema anaanzisha kampeni ya kutokomeza vitambi kwa Watumishi wa Mkoa wa Songwe na Wilaya zote Mkoani humu itakayoitwa "kitambi noma"

Akiongea katika kikao cha kutathimini mkataba wa nusu mwaka wa lishe kilichofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Nselewa Mbozi Kindamba amesema kampeni hiyo itakwenda sambamba na kuelimishana juu ya lishe bora.


Kikao cha hicho kilihudhuliwa na Viongozi ngazi ya Mkoa na Wilaya pamoja na Viongozi wa chama

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO