DC AKAGUA VIFAA TIBA HOSPITALI YA WILAYA YA SONGWE


Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mhe. Solomon Itunda ameiongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Abdallah Mgonja kukagua vifaa tiba vya kisasa vinavyoendelea kuletwa katika Hospitali ya Wilaya ya Songwe.


Kufuatia ukaguzi huo, Mhe. Itunda amempongeza Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan  Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Wilaya ya Songwe shilingi bilioni 3.5 za ujenzi wa Hospitali hiyo pamoja na vifaa vya kisasa vyenye thamani ya Tsh milioni 247.



Mkuu wa Wilaya huyo ameielekeza Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kuhakikisha wanatunza vifaa na majengo hayo, sambamba na kutoa huduma kwa wananchi kwa kuzingatia utu na miiko ya kazi yao.

Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE