DC ILEJE ASHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI KWA WAKUU WA WILAYA DODOMA.

 


Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mhe. Farida Mgomi katika picha akishiriki  mafunzo ya uongozi yaliyoanza leo Machi 13_18,2023 Kwa wakuu wa wilaya za Tanzania Bara wakiwa katika Ukumbi wa Mtumba Jijini Dodoma.


Mafunzo hayo yamefunguliwa rasmi na makamu wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Philipo Mpango.


Mafunzo ya wakuu wa wilaya yameandaliwa na ofisi ya Rais Taimisemi Kwa ajili ya kuwajengea uwezo wakuu wa wilaya.










Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA