BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MLOWO ADAIWA KUJINYONGA MBOZI

 


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Mlowo iliopo Wilayani Mbozi Mkoani Songwe Meshack Mwambogolo amekutwa amejinyonga usiku wa kuamikia leo kwa Wazazi wake Kijiji cha Masoko kilichopo Kata ya Mlangali kwa wazazi mujibu wa mashuhuda wa tukio.

Taarifa zaidi za msiba tutaendelea kuwajuza. 


Comments

Popular posts from this blog

ASKARI WATATU KITUO CHA TUNDUMA MAHAKAMANI KWA KWA RUSHWA

MFANYAKAZI NMB AFARIKI KWA KUJINYONGA