KLABU YA JOGGING MKOA WA SONGWE YAPATA UONGOZI


 Klabu ya joggingi Mkoa wa Songwe imefanikiwa kupata Viongozi wa muda watakao iongoza kupata usajili ya jogging hiyo.


Afisa habari wa Klabu hiyo Rahimu Mohamed amesema Klabu ya jogging imefanikiwa kupata Viongozi wa ngazi mbalimbali 


"Lengo letu ni kuwa na klabu kubwa Nyanda za juu kusini hivyo tumeanza kujipanga kujiendesha wenyewe kwanza kabla ya kupata ufadhili na tumefanikiwa kupata Uongozi wa muda utakao tuvusha katika usajili na mambo mengine yajayo"amesema Rahimu


Viongozi hao ni kama ifuatavyao



Mwenyekiti


 Elautery Mremi


Makamu Mwenyekiti


 Mnas Chande


Katibu


 Charles mwamlima


Msaidizi katibu


Sophia Mwampamba



MHASIBU



Sesilia Mwalim Benedict 


Msaidizi


Pius Mbeya


WAALIMU


FEADA HAONGA

Na

Hassan Kisambu



HABARI/HAMASA 


RAHIM NZUNDA na


RAMADHANI MPONDA


URATIBU


ENG SULEIMAN BISHANGA


WALEZI


NMB, na POLISI


MSIMAMIZI MKUU/MSHAURI


OFISI YA KATIBU TAWALA MKOA WA SONGWE

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA