WANANCHI ILEJE WAANZA KULIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA BARABARA ISONGOLE-ISOKO


 Wananchi wa Kijiji cha Ilulu Kata ya Isongole wameanza kulipwa fidia zao za kupisha eneo kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Isongole- Isoko yenye urefu wa Kilomita 52.414 chini y usimamizi wa Tanroads

Hatua hii muhimu inatekelezwa pamoja na usimamizi thabiti wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ileje Bi. Nuru Kindamba pamoja na Mkuu wa Wilaya Mh. Farida Mgomi chini ya maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan 

Jumla ya zaidi ya shilingi Milioni 850 zitatumika kulipa fidia kwa wananchi 312 katika maeneo mbalimbali ambayo barabara hiyo itapita







Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE