BREAKING NEWS. CHIFU NZUNDA AFARIKI DUNIA



Chifu wa Kimila wa kabila la Wanyiha ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Songwe na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Mkoa wa Songwe Chief Muleshwelwa Nzunda amefariki Dunia siku katika hospital ya Mkoa wa Songwe alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa hii imethibitishwa na ndugu wa marehemu Chifu Nzunda na taarifa kamili itatolewa baadae

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

CHONGOLO AWACHARUKIA RUWASA NA TANESCO KUTOSHIRIKI ZIARA YAKE