WATORO MASHULENI MIKONONI MWA POLISI




Mkaguzi kata ya Muriba Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Vitus Ng'itu akiwa shule ya Sekondari Muriba amebaini uwepo wa wanafunzi wengi watoro na kuweka mkakati wa kudhibiti hali hiyo kwa kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi hao


Aidha,Mkaguzi huyo amewapatia elimu kuhusu faida za kupata elimu hivyo waache kutoroka.Amesema yeye atakuwa mstari wa mbele kufatilia maudhurio yao na kuhakikisha wanafunzi  watoro wanazingatia masomo kama wenzao na kuwa  mstari ulionyooka.


Hata hivyo alitoa  mawasiliano yake ya namba za simu  ili waweze kumpa taarifa za uhalifu na kufichua wahalifu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO