ASKARI KATA ILEJE ATOA SOMO LA UMUHIMU WA KINAWAKA MIKONO SHULE YA MSINGI KALEMBO


 Picha mbalimbali za matukio zikimuonesha Polisi Kata wa Kata ya Kalembo Mkaguzi Msaidizi Raphael Magoma wakifurahia jambo na wanafunzi wa shule ya Msingi Kalembo iliyopo Wilayani Ileje baada ya kuwapa elimu ya umuhimu wa kunawa mikono kabla na baada ya kula.


Mkaguzi Magoma aliwataka wanafunzi hao kutumia muda mwingi kujifunza ili kuongeza maarifa ambayo ni sehemu kubwa ya mafanikio katika maisha yao.


Vilevile aliwaomba walimu kuendelea kuwajengea uwezo wa kujieleza mbele ya watu ili waweze kuwa na uwezo wa kujiamini katika kujibu maswali.


Elimu hiyo ilitolewa leo tarehe 22, Machi 2024.

Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE