CHONGOLO AANZA ZIARA MOMBA ATOA MAAGIZO BWAWA LA CHIWANDA
Mkuu wa Mkoa wa Danieli Chongolo ameagiza bwawa la Chiwanda lililopa Wilayani Momba kuhakikisha ifikapo tarehe 30/08/2024 Ujenzi wake uwe umekamilika na ikibidi Mwenye wa uhuru uzindue ameyasema hayo kiongea katika yake siku ya kujitambulisha na kukagua Miradi Wilayani Momba.
" Niwaombe sana watu wa Mamlaka ya bonde muhakikishe hili bwawa linakamilika tarehe Mwezi wa nane na ikibidi Mwenge uzindue bwawa hili naomba mkuu wa Wilaya simamia hili" aliagiza Chongolo
Katika hatua nyingine Chongolo amewataka Watendaji kuhakikisha miti inapandwa eneo hilo na kuhakikisha wanasimamia mpaka inakuwa.Chongolo ameanza ziara ya siku mbili Wilayani Momba


Maoni