FREAKING NEWS: BASI LA SHABIBY LAPINDUKA WATU KADHAA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA


 Basi la kampuni ya Shabiby lenye usajili wa namba 341EEU limepata pata ajali asubuhi hii ya tarehe 25 Mei 2024 katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro barabara ya Morogoro Dodoma ambapo watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa.


Bado chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana habari Jamii tupo eneo la tukio muda huu huku tukiendelea kuwasiliana na kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro kwa taarifa zaidi.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

CHONGOLO AWACHARUKIA RUWASA NA TANESCO KUTOSHIRIKI ZIARA YAKE