MACHINGA WAKARIBISHA OFISI KWA CHONGOLO

 


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amemtaka Mwenyekiti wa machinga Mkoa wa Songwe kufika ofisini kwake ili wajadiliane changamoto za machinga  wa mkoani Songwe.


Chongolo aliyasema hayo wakati wa kikao cha baraza la wafanyabiashara Mkoa wa Songwe kilichofanyika ofisini katika ukumbi wa ofisi zake Wilayani Mbozi.


Kwa upande wa mwenyekiti wa machinga nkoa wa songwe Calvin Kyando  ameshukuru Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwa kuwa kuwaita ofisi kwake na kutaka kusikiliza kero zao.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON

MOMBA HAWANA JAMBO DOGO: ROUTE VIONGOZI NA WANANCHI WAKUTANA PAMOJA ROUTER MATCH YANOGA