MSD MBEYA WAMPA SENEDA TUZO YA PONGEZI

 


Katibu Tawala MKoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda Amepokea Tuzo ya pongezi kutoka Bohari ya dawa kanda ya Mbeya ili kutambua mchango wa menejimementi ya Mkoa wa Songwe kwa ushirikiano wao wanaoipatia MSD katika kuboresha upatikanaji wa Dawa,vifaa tiba na Vitendanishi.


Kwa upande wake Seneda amewashukuru MSD kwa TUZO hiyo na kuwapongeza pia kwa huduma watoazo kwa wanasongwe hivyo amewataka pindi wapatapo changamoto wasisite kumshirikisha

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

CHONGOLO AWACHARUKIA RUWASA NA TANESCO KUTOSHIRIKI ZIARA YAKE