RC CHONGOLO AONGOZA HARAMBEE YA WASABATO MBOZI ZAIDI MILIONI 47 ZAPATIKANA NA MIFUMO YA SARUJI



Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo ameongoza Harambee ya Kanisa la Adventista Wasabato iliofanyika  Wilayani Mbozi Mkoani Songwe yenye lengo la kuanza ujenzi wa jengo jipya la kisasa la kanisa hilo.

Harambee hiyo iliofanyika  26 Mei,2024 na kuhudhuliwa na Viongozi ngazi ya Mkoa na Wilaya pamoja na waumini wa madhebu mbalimbali Chongolo aliendesha Harambee hiyo ambapo  zaidi ya Milioni 47 na Mifuko  460 ya Saruji zilipatikana kuwezesha Ujenzi wa Kanisa hilo.












Comments

Popular posts from this blog

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

MBUNGE MOMBA KUTOA SHILINGI MILIONI 28 UJENZI WA OFISI ZA CCM KATA 14