ANAEDAIWA KUMUUA HAUSIGELI AKAMATWA
Taarifa ya kukamatwa mtuhumiwa huyo ilitolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Wilbrod Mutafungwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo.
DCP Mutafungwa alisema mtuhumiwa huyo alitiwa mbaroni Agosti 16, mwaka huu saa 5:30 asubuhi jijini Dodoma baada ya kufuatiliwa kwa muda mrefu kufuatia mauaji aliyoyatekeleza Agosti 5, mwaka huu saa 11:30 jioni nyumbani kwa Jackkline Ngowi, ambapo alimuua mfanyakazi huyo kwa kumkaba shingo.
Kufuatia matukio hayo, Kamanda huyo wa Polisi amewataka wananchi wa mkoa wa Mwanza kutoa taarifa za waalifu na uhalifu haraka ili jeshi hilo lichukue hatua mara moja, huku wakiendelea kufanya msako katika visiwa, mialo na Ziwa Viktoria kwa ajili ya kudhibiti uhali
Comments