DED MOMBA APONGEZWA NA BARAZA LA MADIWANI KWA UKUSANYAJI MAPATO

Baraza la Madiwani limekutana Kujadili hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Na limepitisha hesabu hizo.

Mkutano huo umefanyika leo tar Septemba 29. 2024 katika ukumbi wa mkutano wa Halmashauri. 

Katika mkutano huo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba Mhe. Mathew Chikoti amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri pamoja na watumishi wote kwa juhudi na umoja waliouonesha katika ukusanyaji wa mapato.


Juhudi hizo zimefanya kuwa na Makusanyo kwa 168% ikiwa 

Makisio yalikuwa Bilion 1.8 na kiasi kilichokusanywa ni Bilioni 3.1 sawa na zidio la Bilioni 1.3.

'Madiwani na watumishi wote kwa pamoja tusimamie ukusanyaji wa mapato' amesema Chikoti.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO