BREAKING NEWS : BENARD MEMBE AREJESHWA CCM


 Chama cha Mapinduzi CCM kimemsamehe Mwanachama wake Bernard Membe na Wengine kwa Kwa Mujibu wa Katiba ya Chama hicho.


Katibu wa Itikadi na Uenezi NEC Shaka amesema tararibu za kuwapatia Kadi maemeo yao zinaendelea.

Comments

Popular posts from this blog

ASKARI WATATU KITUO CHA TUNDUMA MAHAKAMANI KWA KWA RUSHWA

MFANYAKAZI NMB AFARIKI KWA KUJINYONGA