MAMBO NI MOTO UVCCM MBOZI KIJANA NELSON ACHUKUA FOMU YA UENYEKITI


Mchuano mkali wa kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) unazidi kupamba moto Wilayani Mbozi ambapo Kada maarufu wa CCM Wilayani humo Nelson Mwakyusa amechukua fomu ya kuwania Uenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mbozi mapema na habari tulizozipata pia amerejesha fomu hiyo baada ya kukamilisha taratibu za kuijaza

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO