RPC RUKWA-VITENDO VYA ULAWITI VINAZIDI KUONGEZEKA

Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa limewataka wananachi kukemea na kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya Ulawaiti ambavyo vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku na kuwasababishia watoto madhara makubwa ya kiafya hali itakayosaidia kulinda Afya za watoto  na kukuza maadili kwa jamii.

Kamanda Theopista Mallya amefika Katika kanisa la Waadventista wasabato siku ya jumamosi lililopo mjini Sumbawanga na kutoa elimu kwa waaumi wa kanisa hilo kutoa ushirikiano Katika kukemea tabia zisizofaa Katika jamii.

Baadh ya waumini wamesema wazazi wamekuwa wakipuuzia  wajibu wao Katika kulinda na kutunza familia zao na kutoa wito kwa serikalia kuendelea kuweka mikakati ya kutoa elimu zaidi kwa jamii.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

CHONGOLO AWACHARUKIA RUWASA NA TANESCO KUTOSHIRIKI ZIARA YAKE