POLISI WAONYESHA UKAKAMAVU MITAANI SIMIYU



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu Kamishna Msaidizi wa Polisi Edith Swebe ameongoza Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali katika mazoezi ya utayari 


Kamanda Swebe amesema mazoezi hayo yamelenga  kuonesha utayari wa askari Polisi katika  kukabiliana  na matishio ya uhalifu na wahalifu lakini zaidi kuimarisha na kudumisha amani na utulivu ndani ya Mkoa wa Simiyu ili wakazi wa Mkoa huo waendelee kufanya shughuli zao za kiuchumi na kujiletea maendeleo





Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO