TANESCO SONGWE YATOA RATIBA YA MAENEO YATAKAYO KOSA UMEME

Tanesco Mkoa wa Songwe kupitia kitengo cha Uhusiano na Huduma kwa wateja kimetoa ratiba ya wiki ya maeneo yatakayopata umeme kwa mgao kutokana na kupungua kwa kina cha maji kutokana na hali ya ukame pamoja na ongezeko la wateja waliounganishiwa Nishati hiyo ya umeme
 



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO