AKAMATWA KWA MADAI YA KUMUUA TUPAC

 Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane “Keefe D” Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa Tupac Shakur aliyepigwa risasi Mitaa ya Las Vegas, Marekani

Licha ya Mashtaka yake kutowekwa wazi, taarifa zinaeleza kuwa Mashauri yote kuhusu kesi hiyo iliyodumu kwa takriban miaka 27 yatajulikana leo Septemba 29, 2023
Tupac alizaliwa Jijini New York Mwaka 1971, alijipatia umaarufu mkubwa kupitia muziki wa Hip Hop kutoka upande wa West Coast akitamba na ‘hits’ kama Do 4 Love, Hit Em Up, Dear Mama na California Love

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO