AFANDE MOMBA AMEJUMUIKA NA WANAFUNZI MSINGI CHAKULA CHA MCHANA


Picha za matukio mbalimbali zikimuonesha Polisi Kata ya Kapele Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Stephen Tarimo Mei 23, 2024 akila chakula pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kapele iliyopo Wilaya ya Momba Mkoani Songwe.


Tukio hilo limekuja baada ya kuwapa elimu ya faida ya kukataa kuozeshwa wakiwa na umri mdogo na wangali wanafunzi ili kutimiza ndoto za maisha na masomo yao, pia aliwataka kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia na uhalifu ili wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

CHONGOLO AWACHARUKIA RUWASA NA TANESCO KUTOSHIRIKI ZIARA YAKE