BASI LA NGASSERE LATUMBUKIA MTONI SONGWE WAWILI WAPOTEZA MAISHA

 


Basi la Kampuni ya Ngasele lilokuwa likitokea Dodoma kuelekea Tunduma limetumbukia mtoni Mji wa Mlowo kijiji cha Myovizi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe na jitihada za uokozi zinaendelea.

Kwa mujibu wa Kaimu kamanda msaidizi wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP GALLUS HYELA amesema watu wawili wamepoteza maisha na wengine watano wamejeruhiwa vibaya akiwemo dereva wa basi na wamekwisha kimbizwa hospitali.

kamanda amesema chanzo cha ajali hilo ni dereva wa basi hilo alikuwa akilikwepa gari linguine ndio alipogonga ukingo wa daraja hilo na kudumbukia mtoni.


Comments

Popular posts from this blog

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

MBUNGE MOMBA KUTOA SHILINGI MILIONI 28 UJENZI WA OFISI ZA CCM KATA 14