MKURUGENZI KIBAHA DC ATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI KWA VITENDO

 MKURUGENZI KIBAHA DC ATEKELEZA MAAGIZO YA 



Zaidi ya Wananchi 70 wameendelea kupata huduma ya kliniki ya Ardhi ya Mama Samia katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Julai 4 mwaka huu.

Bi Regina Bieda ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha amewasikiliza na kutatua migogoro midogo Kwa agizo la Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Aidha, Bieda amesema migogoro mikubwa ataendelea kuwakumbusha viongozi wake wa juu Kwa lengo kupata ufumbuzi kama alivyo ahidi Waziri Ardhi.

Pia ameahidi kupitia timu yake ya wataalamu wa Ardhi na wanasheria kupanga utaratibu maalumu wa kutembelea mara Kwa mara maeneo yote yenye migogoro Kwa lengo la kutatua.

Naye Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Brown Nziku amesema wataendelea na huduma ya kliniki ya Ardhi ndani ya Ofisi za Halmashauri Kwa utaratibu maalumu hivyo Wananchi wanakaribishwa.
Zaidi ya Wananchi 70 wameendelea kupata huduma ya kliniki ya Ardhi ya Mama Samia katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Julai 4 mwaka huu.

Bi Regina Bieda ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha amewasikiliza na kutatua migogoro midogo Kwa agizo la Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Aidha, Bieda amesema migogoro mikubwa ataendelea kuwakumbusha viongozi wake wa juu Kwa lengo kupata ufumbuzi kama alivyo ahidi Waziri Ardhi.

Pia ameahidi kupitia timu yake ya wataalamu wa Ardhi na wanasheria kupanga utaratibu maalumu wa kutembelea mara Kwa mara maeneo yote yenye migogoro Kwa lengo la kutatua.

Naye Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Brown Nziku amesema wataendelea na huduma ya kliniki ya Ardhi ndani ya Ofisi za Halmashauri Kwa utaratibu maalumu hivyo Wananchi wanakaribishwa
.

Comments

Popular posts from this blog

MAKONDA AWACHANA MAKAVU KATIBU CCM NA UVCCM SONGWE