MSIMAMIZI WA VIKOSI MAALUMU VYA POLISI ATUA SONGWE


 Mkuu wa usimamizi Vikosi Maalum vya Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Ferdinand Mtui kutoka Kamisheni ya Operesheni na Mafunzo, Makao Makuu ya Polisi Dodoma leo Julai 06, 2024 amewasili Mkoa wa Songwe na kufanya kikao na Maafisa wa Polisi Songwe.


Naibu Kamishna Mtui yupo ziarani mikoa ya nyanda za juu kusini kuangalia na kukagua hali ya ulinzi na usalama wa bomba la mafuta la Tazama Pipeline katika mikoa iliyopitiwa na bomba hilo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

WAFANYABIASHARA SONGWE WALALAMIKA FOLENI YA KUSIMAMISHIA MAGARI SENJELE NA NANYALA WILAYANI MBOZI

SONGWE JOGGING WARUDI NA MEDANI ZAIDI YA KUMI NA TANO TULIA MARATHON