ILEJE IMETISHA UZINDUZI ROUTE MATCH

 


Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Happiness Seneda ameongoza uzinduzi wa Route match Mkoani Songwe uliofanyika Wilayani Ileje katika Viwanja vya Mwenge vilivyopo Isongole.


Katika uzinduzi huo ambao ulianzia na mbio fupi shule ya sekondari ya Ileje hadi Viwanja vya Mwenge katika uzinduzi huo mamia ya wakazi wa Ileje wamejitokeza kwa wingi huku kukiwa na kila aina ya mbwembwe toka kwa wakazi wa Ileje.









Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MH. ESTER ALEXANDER MAHAWE

CONSTRUCTION OF THE ISONGOLE-ISOKO ASPHALT ROAD IS NOW OFFICIAL, CONTRACTOR INTRODUCED TO THE PUBLIC

*KUNDO AGOMA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO